Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Elim Camp Coaching tumeamua kumsaidia mwanafunzi wa kidato cha 4. Tunamsaidia kwa njia kuu mbili; 1. Tuna mfundisha kwa njia ya maswali tu, jinsi ya ku solve maswali ya #NECTA kwa masomo yote...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Salaam Wakuu, QUOTE ni neno la kingereza lenye maana "kurudia kile alichokisema mtu mwingine". Sasa huu ni Uzi maalum kwa ajili ya Quote unayoikubali. Karibuni.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iv kati ya EGM na PGM ip n combination nzuri ukizngatia na faculty zake kukubalika sana kibongo bongo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka nikasome masters so kozi ipi ni very marketable kati ya Human Resource Management na Project Management. Asanteni!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari ya leo wana jamvi. Mpwa wangu wakiume kapata for ya IV ya 26. Je anaweza kupata nafasi kuendelea Advance hata kwa private!? Kama haiwezekani ataweza kupata ualimu serikalini ama private? Je...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Wakuu, Kuna dogo wa rafiki yangu hapa mtaani kapata division 4 ya 27, ana "C" tatu na "D" kwa Arts, Sayansi hajaambulia Kitu. Shemeji yake (mume wa dada yake) anataka ampeleke advance private...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habr jf? Wakuu kuna hili swala linanitatiza. Nataka kuapply koz ya cert in medical laboratory ktk chuo kikuu cha ruaha (ruco) mnanishaur vp kuhusu koz hii?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ask any of your questions about Health programe Technician certificate and Diploma for Clinical medicine & Nursing upon how to apply and minimum requirement for application and other relevant...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Kama gvt inawajali walimu basi iwalipe posho ya maana ya usafiri. Iwalipe madeni Yao Na iongeze mshahara Yao. Hakuna Mwalimu anayetaka dezo ya nauli ya daladala. Ni udhalilishaji Na upuuzi mtupu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa wale wanaohitaji kuomba nafasi za udahili katika vyuo vikuu kwa kupitia mfumo wa udahili wa pamoja NACTE sasa hawataweza kufanya hivyo hadi Mwezi May mwaka huu baada ya matokeo ya kidato cha...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Igweeeeeeeeeeeeeee,ninawadogo zangu watatu mmoja yupo udsm huyu akisaini boom leo baada ya siku tatu mzigo huuoooooo,Sasa hawa wawili wawili sitaji vyuo vyao walienda kama transfer wakisaini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari ndugu walimu... Kama title I navyojionyesha kumekuwa na malalamiko na manung'uniko kuhusu huyu mdudu CWT kuwa ni mnyonyaji wa walimu na sio msaada tena...mimi nilikuwa mmojawapo wa watu...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Habari ndugu walimu... Kama title I navyojionyesha kumekuwa na malalamiko na manung'uniko kuhusu huyu mdudu CWT kuwa ni mnyonyaji wa walimu na sio msaada tena...mimi nilikuwa mmojawapo wa watu...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Habari ndugu walimu... Kama title I navyojionyesha kumekuwa na malalamiko na manung'uniko kuhusu huyu mdudu CWT kuwa ni mnyonyaji wa walimu na sio msaada tena...mimi nilikuwa mmojawapo wa watu...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Natarajia kumaliza Form 6 keshokutwa mwez wa tano na ningependa kujua kama DIT kuna faculty ya Information nad tecnology kwan ndio malengo yangu kusomea na nimeenda kwenye website yao cjaona hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Juma Mtanda, Mwananchi jmtanda@mwananchi.co.tz Shule ya Sekondari ya Malinyi iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro ndiyo iliyofanya vibaya zaidi katika matokeo ya mtihani wa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Matokeo ya kidato cha nne yametoka na ufaulu wangu sio mzuri sana naomba ujuzi wenu katika hili -utoaji wa post unazingatia kitu gani? -me nataka nisome CBG Mfano nkapangiwa comb nyingine...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Ivi wakuu wanaopitia nacte ni course za afya na ualimu tu? mana web ndo naona imejaa college izo je sie wa engineering tuna apply direct chuoni au tunapitia nacte? sioni guidebook yetu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Matokeo ya kidato cha nne yametoka na ufaulu wangu sio mzuri sana naomba ujuzi wenu katika hili -utoaji wa post unazingatia kitu gani? -me nataka nisome CBG Mfano nkapangiwa comb nyingine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niaje wanajanvi Kumekuwa na tabia ya vijana wengi hapa Tanzania kupenda kusomea shahada au degree yeyote ilimradi nae yupo chuo kikuu. Hili limekuwa tatzo huku mtaani kwani vijana wamekuwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom