Wakuu, naombeni ushauri wenu, Mimi nimesoma shahada ya kwanza ya Ununuzi na Ugavi, nikafanya Post graduate Diploma ya masuala ya Ununuzi na Ugavi, na pia nina cheti cha Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (CPSP).
Nahitaji kufanya masters degree. Je nifanye tena masters ya manunuzi ? nahisi kama nitakuwa napita mule mule na haitaadd value ya kitu chochote kwangu.
Naombeni ushauri wenu wadau.
Nahitaji kufanya masters degree. Je nifanye tena masters ya manunuzi ? nahisi kama nitakuwa napita mule mule na haitaadd value ya kitu chochote kwangu.
Naombeni ushauri wenu wadau.