Mkuu wa chuo cha Eden Hills College -Mlandizi Kibaha, anatangaza nafasi za masomo ngazi ya Diploma na Certificate,kwa wahitimu wa kidato cha NNE,SITA,VETA au zaidi.Kozi zinazo tolewa ni pamoja na UANDISHÎ WA HABARI NA MAWASILIANO YA UMMA,UALIMU,BIASHARA NA UTAWALA.PIA UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA,UHASIBU NA USIMAMIZI WA FEDHA,KOMPYUTA ,UREMBO NA MITINDO. Wasiliana na Mkuu wa chuo 0719318278 Kibaha