MSAADA NDUGU ZANGU, ASOME KOZI GANI......??

sir j

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
317
212
Ni mdogo wangu kahitimu kidato cha nne yaani form four, na matokeo yake kapata div. 27 IV. akiwa na F ya phys, Chem & maths. Chuo kipi na kozi zipi zaweza kumfaa. Tumsaidie bwana mdogo kwani anataka sana kwenda kwa chuo. Karibuni sana kwa mchango wa mawazo. Asanteni.....!!!!!!!
 
Alitaka sana education, lakini naona vigezo ndo kikwazo....
 
Ni mdogo wangu kahitimu kidato cha nne yaani form four, na matokeo yake kapata div. 27 IV. akiwa na F ya phys, Chem & maths. Chuo kipi na kozi zipi zaweza kumfaa. Tumsaidie bwana mdogo kwani anataka sana kwenda kwa chuo. Karibuni sana kwa mchango wa mawazo. Asanteni.....!!!!!!!
Anataka kwenda chuo gani kwa marks hizo mkuu? Mbona grades nyingine hujatoa? Labda kaulizie Tanzania Public Service College anaweza pata certificate za usimamizi wa ofisi. Angekuwa analeta matumaini, ningeshauri arudie mitihani.
 
Back
Top Bottom