Abuu Bardizbah
Member
- Aug 10, 2013
- 76
- 7
Nilichaguliwa KAM COLLEGE ni ka comfirm ila nimeshindwa kujiunga sasa nimepata nafasi chuo kingine cha karibu sasa nataka kufahamu jinsi ya kuhama kupitia noas.
Nilichaguliwa KAM COLLEGE ni ka comfirm ila nimeshindwa kujiunga sasa nimepata nafasi chuo kingine cha karibu sasa nataka kufahamu jinsi ya kuhama kupitia noas.
NOAS ndio kitu gani?
Noas Means NACTE ONLINE ADMISSION SYSTEM
Pole
kwa kuchelewa
kusaidiwa haya machache ujue, Endapo kama ulichaguliwa na ukacomfirm
chuo itz difficult to change or make choices again bcoz ur application
already eligible by NOAS system maybe try another application with new
M-pesa comfirmation code before system closed 20 august. Mbona walisema
wametoa fursa ya kuhama hata kama umechaguliwa katka lile tangazo lao
Naomba kujua, msimu wa masomo 2016/2017 unatarajiwa kuanza lini? Kwa Course za C.O!! Maana application zimewahi Sana
Naomba kujua, msimu wa masomo 2016/2017 unatarajiwa kuanza lini? Kwa Course za C.O!! Maana application