JAMANI MSAADA WENU SAMAHANI

Prince naithy

Member
Nov 18, 2015
57
3
Nataka kua apply chuo mtandaoni ila nashindwa kuingia nikimaliza kuja za hamna sehemu ya continue ya kuendelea labda msada wenu wa kuu nifanyaje na kwenyw
www.cas. go.tz najaza maswali yao ilakuendelea aitaki na ombeni msaada wenu jamani plz
 
Wapi unashindwa umeisha fka sehem ya kuchagua vyuo au hapana.piga screenshot utume hapa ili upatiwe msaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom