Nani ajuaye ada chuo cha maafisa tabibu Kibaha?

Sadoseba

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
243
91
Habari za kwenu viongozi?
Naomba yeyote mwenye taarifa ulizwa hapo juu anisaidie plz.
Ningependa kujua tuition fees na direct costs.
Naomba kufahamishwa ikiwa mtu aliyekuwa admitted na NACTE anaweza kuwa allocated any allowance na Serikali.
Naamini mtanisaidia wakuu.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom