Ikiwa ww ni mwanafunzi unaetaka kufikia ndoto zako za elimu karbu ktk chuo chetu cha st.joseph katika course za
1.Mechanical engineering
2.electronics and communication engineering (ECE)
3.civil...
Utaratibu wa kupata mkopo HESLB ukitaka kusoma Masters of Education in Educational Management Administration and Planning
1.Kwanza kwa kozi hiyi Inawezekana??
2.Pia utaratibu unakuaje??
3.Na...
Habarini hapa,
Wakuu wale waliopo kwenye vyuo vya afya na hata waliopita huko tupeane uzoefu namna ya kutoboa huku na sio mbaya tukishirikishana mambo mbalimbali.
Ulijisikiaje kipindi...
Wadau nataka kujua TCU wametumia vigezo gani kuwapata hawa au mwaka huu wanaosoma kizi hii ni distinction pekee? Wadau inaniuma sana nina merit lakini mpaka leo TCU hawajanichagua.
Kuna MTU...
Eti wanafunzi wa vyuo naomba kuuliza, huwa mnakatwa shilingi ngapi wakati mnawekewa hela zenu bank kwa wale mlio na mikopo.
Je hela uliyosaini ndio hiyo unayowekewa bank au inakua pungufu, na...
NAOMBA KUELIMISHWA MAANA YA SHAHADA HII YA PILI INAYOJULIKANA KWA JINA LA KWANZA KAMA EXECUTIVE EG. EXECUTIVE MBA ETC. WANASOMAJE KINYUME NA INGEKUWA MBA PEKE YAKE?
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya...
Naomba mwenye kujua chuo kizuri kinachotoa kozi ya kingereza hata kwa mtu mwenye kichwa kigumu anaelewa nahitaji kujua na gharama zake na kama kuna aliewahi kukisoma atoe ushuhuda kweli kiko...
Mwalimu Zaituni Athumani Salumu WA shule ya msingi Luhuha ipo geita_halmashauri ya wilaya ya Geita, kata ya nyakagomba anatafuta mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa Dar es...
Amani iwe kwenu wakuu...
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari na nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita...
Kilichosababisha nipandishie Uzi huu hapa jukwaani..ni kitendo cha chama cha Walimu...
Wanabodi hali zenu,
Nina Kijana wangu aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana (2015). Matokeo yake ni division 3 ya point 23,alikuwa akichukua masomo ya Sayansi. Kulingana na Matokeo yake Combi...
Habari wakuu, naomba kujua hapa Tanzania kuna utaratibu wa wizara ya elimu kutoa leseni au kibali cha kufundisha kwa walimu watanzania? na kwa utaratibu gan kama upo?
Tunaiomba serikali imuangalie mkuu wa shule ya njombe. Hii shule imekuwa na tatizo la walimu kutokuingia darasani huu mwezi wa tatu sasa wanafunzi muda mwingi wako shamba. Tunaiomba TAMISEMI...
Dr. Ndalichako tunaomba uje kuangalia uozo wa NIT kuanzia mfumo wa ratiba na mambo mengineyo.
Mimi nitagusia kwenye suala la mikopo ndiyo inaathiri zaidi wanafunzi wengi wa NIT haswa mwaka wa...
Naomba kuuliza kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wenye mkopo na hata wasio na mkopo.
Hapa chuoni kwetu kuna tatizo moja,katika hela tunayopewa kutoka bodi ya mikopo. Kila tukishasaini hela inayoingia...
Uozo na siasa zinazoendelea..
Ndugu wana jamii forum kwanza nasikitika Sana kwa serikali yetu kuendelea kufumbia macho chuo kikuu cha Kampala international university maana ni chuo ambacho...
LIBERATING a nation from poverty doesn’t come from the blue; it needs commitment from both the government and its people.
Tanzania as a country today strives to get out of poverty by employing...
Habari zenu wanajukwaa, naomba msaada kwa walimu ama mtu yeyote mwenye uelewa, kuna kijana alimaliza form two miaka mitatu iliyopita na matatizo ya kifamilia yakamfanya ashindwe kuendelea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.