WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,584
- 2,446
Amani iwe kwenu wakuu...
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari na nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita...
Kilichosababisha nipandishie Uzi huu hapa jukwaani..ni kitendo cha chama cha Walimu Tanzania(CWT) kukata mshahara wangu bila idhini yangu...
Sijawahi kujiunga CWT tangu niajiriwe na sijawahi kupata msaada wowote kutoka kwao
Kiufupi ,naombeni ushauri kama huu ndio utaratibu mpya kwa kuwa tangu niajiriwe mwaka 2013 sijawahi kukatwa mshahara na hawa kupe...
pia ningependa kufaham ni sheria gani inayowapa hayo mamlaka ya kukata kamshahara ka walimu bila idhini yetu....
Nawatakieni pasaka njema na Mungu awe nanyi