dragon ball
Member
- Jul 17, 2015
- 57
- 4
Dr. Ndalichako tunaomba uje kuangalia uozo wa NIT kuanzia mfumo wa ratiba na mambo mengineyo.
Mimi nitagusia kwenye suala la mikopo ndiyo inaathiri zaidi wanafunzi wengi wa NIT haswa mwaka wa kwanza. Sasa hivi tupo field chuo kinafunguliwa mwezi wa saba kwa semister ya pili. Wametusaini pesa tokea machi, 24. Kimya hadi muda huu.
Kumekuwa na tabia ya kutopokea mikopo kwa wakati. Hata mkisaini mnacheweshewa pesa muda mwingine mpaka wiki mbili na kuendelea hadi baadhi ya kozi walete amsha amsha ndiyo pesa inaingizwa kwenye akaunti tofauti ya vyuo vingine ukisaini pesa yako unapata baada ya muda fulani.
Nina mashaka labda hizi pesa wanafungulia fixed deposit au kuna biashara zao wanafanya wanazozijua wao.
Kuna umuhimu hili jipu likatumbuliwa maana hiki chuo kimezidi uzembe...