Tunaiomba serikali imuangalie mkuu wa shule ya njombe. Hii shule imekuwa na tatizo la walimu kutokuingia darasani huu mwezi wa tatu sasa wanafunzi muda mwingi wako shamba. Tunaiomba TAMISEMI itusaidie sisi wazazi na walezi vijana wanalalamika kuwa mwalimu mkuu hajali kabisa kuhusu wanafunzi muda mwingi anafanya mambo yake binafsi.
NJOMBE HIGH SCHOOL tusaidieni.
NJOMBE HIGH SCHOOL tusaidieni.