JAMBONIA 2
Member
- Mar 25, 2016
- 45
- 11
Habari wakuu, naomba kujua hapa Tanzania kuna utaratibu wa wizara ya elimu kutoa leseni au kibali cha kufundisha kwa walimu watanzania? na kwa utaratibu gan kama upo?
hebu pitia hii fomu hapa chini kisha unijulishe inataka nini hasa? hyo pdf hapo chiniLesseni jaman hili limekuwa gar?
Kimsingi huwa ukimaliza chuo unapewa cheti unapata kazi
Doh kumbe....Leseni zote zimexpire 2012, walimu wa leseni no wale mliowaita voda fasta