kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,815
Habarini hapa,
Wakuu wale waliopo kwenye vyuo vya afya na hata waliopita huko tupeane uzoefu namna ya kutoboa huku na sio mbaya tukishirikishana mambo mbalimbali.
Ulijisikiaje kipindi umechaguliwa kujiunga na masomo haya, ni changamoto gani uliyokutana nayo ukiwa chuo, ni somo gani lilikuwa tatizo kwako, vipi kuhusu ''mnyonyo'' wa machifu kwenye paper za practical.
Ulijisikiaje ulipomchoma mgonjwa sindano kwa mara ya kwanza,unawashauri nini waliopo vyuoni,vipi unaenjoy kuwa medical personel na mengineyo.
Karibuni