wadau wa elimu nina maswali ambayo naomba msaada wenu kuyajibu na ikiwezekana kwa reference!
(1)ni mwezi wa ngapi mitihani ya kumaliza kitado cha sita 2017 itafanyika?
(2)je program ya kwenda...
Mimi mwalimu wa Physics na Mathematics na nina diploma ya education.
Natafuta nafasi ya kufundisha hasa katika mkoa wa Dar katika shule za private.
Kama kuna mtu yeyote ana taarifa ktk shule...
Wakuu hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Naombeni mnisaidie formula ya kutafta divisions ktk matokeo ya via Excel. Urgently needed please, asanteni!
Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu...
Hakika kijana huyu aliweza kusimama imara kupigania maslai ya wanaUDSM bila woga, tena aliweza kusimama mbele ya jengo la utawala na kupaza sauti hadi mh.mkandara akaja kusikiliza kilio chetu...
Wakuu wa kaya
Habari za siku nyingi, hakika wote mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Baada ya pilikapilika za kipindi kile cha kufuatilia selection zetu pale udsm majina yetu yalikua pending mpaka...
Serikali kupitia nacte ilitangaza tarehe ya kuanza kwa mafunzo kwa vitendo ktk vyuo vya ualimu ngazi ya diploma ambayo ilikuwa no tar 4/April lakini tarehe hiyo imesogezwa mbele zaidi kutokana na...
Habari za saa hizi wadau,
Samahani sana wadau kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.Kuna dogo wangu amemaliza form four mwaka jana 2015 lakini kila akijaribu kufanya application NACTE...
Ndugu wadau wa JF nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana matokeo yake siyo mazuri sasa ametaka kujiunga na chuo cha ualimu ila mpaka leo anafuatilia results slip mpaka leo hajapata...
Hey guys,habari zenu?natumain mko poaa,ivi inakuaje kwa mfano ukimaliza form six na ukachaguliwa kwenda chuo lakini ukataka kuairisha uo mwaka ili uende mwaka mwingine i mean mwaka...
Mheshimiwa Rais nikupongeze kwa kasi yako unayoendelea nayo.Naandika hili nikiwa na uhakika kuwa utalipata.
Ni kweli wakuu wa shule wamepewa jukumu la kuongoza shule na wanatakiwa kuwajibika kwa...
Mnamo miaka ya 1970s chuo hiki kilianza kutambulika kama INSTITUTE OF DEVELOPMENT MANAGEMENT na baadaye kikaja kukabidhiwa kirungu kama chuo kikuu.ni chuo kinachotoa kozi za kipekee ambazo ni...
Wakuu mfano MTU ana degree ya accounting and finance kutoka open university anaweza pata kazi kama mwenye degree kutoka full university? Au akiomba kazi anaitwa kwa interview kama wengine?msaada plz
Nimemaliza kdato cha NNE mwakajana nimefaulu kwa dvsion 3 cjabalance combi Nina c ya chem na c ya bio na c ya English zengne zote D naweza kwenda advance kweli kwa hivyo nisaidieni wana jf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.