Msaada kuhusu boom

visent

Member
Oct 24, 2013
22
0
Eti wanafunzi wa vyuo naomba kuuliza, huwa mnakatwa shilingi ngapi wakati mnawekewa hela zenu bank kwa wale mlio na mikopo.

Je hela uliyosaini ndio hiyo unayowekewa bank au inakua pungufu, na kama ni pungufu nyingine huenda wapi?
 
duuuuu hiki chuo basi watakuwa matajir sana kwa maana wanakata kila hela. hatujawi kuwekewa hela kama jinsi tulivo sain wanasema et kuna indirect cost inatakiwa ilipwe
 
Itakua St Joseph tu hiyo kama sio ni Kampala

Acheni ujinga..ulizeni indirect cost zipi?Zimeandikwa wapi?

Hojini bana msiibiwe kizembe hivyo
 
Back
Top Bottom