charmingboy
Member
- Jun 9, 2015
- 29
- 6
Uozo na siasa zinazoendelea..
Ndugu wana jamii forum kwanza nasikitika Sana kwa serikali yetu kuendelea kufumbia macho chuo kikuu cha Kampala international university maana ni chuo ambacho hakina elimu bora na kina usajiri ambao haupo bayana kwa wananchi kipo kisiasa siasa.Hayo yote ni kuanzia main campus Uganda mpaka costitute college yaani KIUCC dar.Imefika mahali hata wanafunzi wanaosoma pale wanatukimbia mitaani kwa aibu ya chuo Chao.Kwa mujibu Wa pharmacy council mpaka mwezi Wa nane mwaka Jana usajiri wao haukuwa shwali maana umejawa mwingiliano Wa kisiasa.Mtazania unayehitaji elimu bora fuatilia uhalali Wa sehemu hiyo kabla hujaanza kusoma.siku njema