Habari wanajamii.
Mimi nilikuwa mwanafunzi wa St Joseph University arusha campus. Baada ya chuo kufutwa nimehamishiwa Marian university bagamoyo. Kwa bahati mbaya sina pesa ya kufanya registration...
Habari wana jamvi bila shaka ni wazima wa afya
Ninahitaji msaada/ninaswali kuhusu hii application mpya ya kutoa notes za masomo yasiyopungua kumi na mbili (12) inayoitwa thl for secondary.
Kwa...
Habari za mchna wandugu.
Naomba mwenye vitabu vifuatavyo(au chochote kati ya hivyo) kwa soft copy anisaidie, nina dogo ana-reseat.
1. Vuta nikuvute
2. Morani
3. Kwenye ukingo wa thim.
4. Fungate...
Sikumbuki ni lini sijaacha kuvutiwa na aina yake uwasilishaji wa hoja mbele ya jamii pale anapokuwa anazungumza. Japokuwa Mheshimiwa Mbunge huyu wa Vunjo James Mbatia tunatofautiana katika ITIKADI...
Mi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2011,,na nilifeli kwa kupata div IV-18 HGK. Sasa nahitaj kurudia mtihan mwakan may 2017, je naweza kuvuka hapo,, nahitaj msaada wenu wa...
Naomba ushauri, mimi ni mwalimu graduate wa BAED-HK na ninahitaji kusoma kozi nyingine mf; accountancy kwa post graduate au nyingine yoyote. Lengo ni kusoma kada ambayo baada ya kumaliza kuisoma...
SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli imeahidi na kuanza utekelezaji wa kutoa elimu bure kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha nne.
Hatua hii ni nzuri kwa...
Walimu wa science karibu asilimia 99 kama sio mia wanatamani kuachana na degree zao za Baed na kuanza upya courses za afya hata kwa ngazi ya cheti. Walimu hawa wamekuwa wakifanya kazi huku akili...
Naomba ushauri, mimi ni mwalimu graduate wa BAED-HK na ninahitaji kusoma kozi nyingine mf; accountancy kwa post graduate au nyingine yoyote. Lengo ni kusoma kada ambayo baada ya kumaliza kuisoma...
Habar jf.
Naomba ufafanuzi ili nijue mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu kwa wenye diploma wanaohitaji kujiunga na chuo kikuu.
Pia nahitaji kubadili kozi, kutoka marketing kwenda education...
my Dear.
It is only when you are under pressure—when you are forced to choose one way or another, to either live consistently with a value or to compromise it—that you demonstrate your true...
habari wakuu
binamu yangu amemaliza field yake ya chuo na amefanyia huku huku nyumbani kwenye kijiji fulani
Sasa anataka kuandika report aende nayo chuo jee afuate procedure gani?
Anadai...
Kwa takriban wiki ya pili sasa hekaheka kivumbi na jasho ni kuwania nafasi ya Urais wa serikali ya wanachuo wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastian kolowa ambapo vijana machachari wakiumana...
Wakuu heshima mbele
Kwa mwenye kufahamu juu ya uchapishaji wa vitabu hasa gharama naomba anijuze
Pia ningeomba kwa mwenye kufahamu Kampuni nzuri ya uchapishaji
Na ukitaka kutunga kitabu...
Masomo ya ziada kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita, wanafunzi wanaorudia mitihani (PC) na wanafunzi wanaofanya mitihani ya maarifa (QT),Masomo yatolewayo
1. Chemistry
2. Physics
3...
Habarin wanajamvi,naombeni msaada wenu kwa yeyote anayejua/aliyesomea/anayesoma Master of science in Information system at UDOM au chuo chochote kinachotoa program hiyo hapa tz kuhus entry...
Habar wana jamii , nilikua naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya waliohairisha mwaka .... Mimi nmesoma PCB na nmemalza form six mwaka 2015... Then nikasafirig , nlivyorud nkakuta watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.