Picha za usajili NECTA

Hakuna software ya urahisi kuzipa majina (Mfano majina unayo katika Ms Excel) na kuzibadili kwa pamoja kuwa jpg?
Aisee majina lazima uingize manually..... Unaplace kwenye publisher tu halafu chini uweke sehemu ya signature... Zinaweza kukaa picha hata 30 kwenye page moja....
 
Back
Top Bottom