Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,122
Naomba mwenye kujua chuo kizuri kinachotoa kozi ya kingereza hata kwa mtu mwenye kichwa kigumu anaelewa nahitaji kujua na gharama zake na kama kuna aliewahi kukisoma atoe ushuhuda kweli kiko vizuri kuna mtu anahitajika akajifunze lugha kwanza kabla hajaanza ishu zake, msaada wenu wanajamvi