Utaratibu wa kupata mkopo HESLB

Fredrick Mmari

Senior Member
Jul 8, 2013
144
37
Utaratibu wa kupata mkopo HESLB ukitaka kusoma Masters of Education in Educational Management Administration and Planning

1.Kwanza kwa kozi hiyi Inawezekana??

2.Pia utaratibu unakuaje??

3.Na wanakopesha kwenye mambo gani?? mf ada, accommodation n. k
 
Navyojua wanufaika wa loans kutoka bodi ni wale wanaosoma bachelor na advance diploma in education (special program) tu.
 
Nenda website ya Loan Board utapata maelezo ya kutosha. But in advance ili uweze kupata mkopo wa masters kama ulishawahi kupata mkopo ukiwa undergraduate unatakiwa uwe umeanza kulipa mkopo kwa muda usiozidi miezi 12 mfululizo ndipo utakuwa eligible kupata mkopo for Masters
 
Back
Top Bottom