Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

JF hakishindikani kitu,niliwahi ona post moja inayoelezea kuhusu topics za math advance ambapo kulitokea wakali wengi wa probability walikuja kwa tambo kem kem. leo nimeletewa problem moja ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi habari zenu Nina Mdogo wangu O level alimaliza 2010. Kwa ufaulu ufuatao: Chemistry............... B Maths...................... C Biology.................... C...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Wanajamvi tafadhali mwenye uelewa juu ya makampuni, mashirika na taasisi mbalimbali zinazokubali "Internship" hapa nina matokeo ya semester tano, nasomea shahada ya uhasibu, watu wamenishauri kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ni kweli kuwa private sponsored hawapewi hostel na chuo na je vipi kuhusu upangaji wa mageto karibu na chuo hichi gharama zikoje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, naombeni msaada wa mawazo. Kuna mwalimu Primary, amehamia wilaya ya Kinondoni. Tatizo lililopo amepangiwa shule ya mbali mno kutoka nyumbani wakati kuna shule kama 3 maeneo ya karibu na...
1 Reactions
5 Replies
840 Views
Hello wapendwa naombeni kuelekezwa pahala ambapo nitapata kitabu au vitabu vya the power of praying woman kwa dsm na mwanza navitafuta kweli
0 Reactions
0 Replies
749 Views
nilikuwa naomba kuuliza je kwa upande wa education ni masters ipi ambayo ipo sokoni kwa sasa ambayo nikisomea naweza kuwa ni mtu mwingine. na pia kuna masters za masomo na za uongozii je ipi ni...
0 Reactions
90 Replies
13K Views
Kwa kuwaokoa watoto wa masikini ambao tulidhani mkopo wa elimu ya juu ni mkombozi kwa kupata mkopo sasa ni kilio kila kina baada ya mwaamko wa kurejesha mkopo kuwa mchungu kama siyo jipu uchungu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani wadau,hivi hiki chuo kinachukua wanachuo waliosoma Diploma tu au hata Form Six fresh from school? Msaada plz maana nina principle pass mbili za masomo ya arts na nataka kukiomba. Je...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari wana JF Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Naombeni mawazo au ushauri kwa wale wenye uzoefu na mambo ya tasnia ya filamu. Nimekuwa nikipenda sana uandishi wa stori mbalimbali lakini...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
habari za jioni ndugu zangu, naomba kujua kama kuna chuo ambacho kinapokea wanafunzi kwa ngazi ya diploma kwa sasa ni hayo tu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
, [emoji116]click hear...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
When I was a university student a couple of days ago, I studied this interesting poem by Kalungi Kabuye "Home Coming" there at UDSM actually I had dream to be an African writer, a greater, as...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Toka mwezi wa tatu mwaka jana ofisi ya Bursa hapa UDSM, imeacha kurudisha fedha ya tahadhari elfu hamsini(50,000) kwa wanachuo wa postgraduate wanaomaliza, kwa madai kuwa mwanafunzi husika aache...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mtu akisoma course tajwa hapo masters anaweza akasoma nn na nini,naomba list plzlsee mwenye ufahamu
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Specialization ipi hapa inaweza kuwa na tija nzuri huko mbele kwa kuangalia mabadiliko katika jamii. 1.Medical sociology 2.Rural sociology 3.Environmental sociology 4.Industrial sociology Kama...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
[/URL][/IMG]
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Habari wadau Hivi kibali cha uhamisho kutoka kwa katibu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi? Na pia huweza kutumia muda gan hadi kufika? Maana yapata mwezi sasa kibali changu kilitumwa kwa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu, naomba wa msaada wa namna ya kupata softy copies ya vitabu vya Abunuwasi na hekaya za bahlul mwenye busara! Natanguliza shukran kwa atakae weza kunisaidia.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimechagua vyuo vitatu kwa kozi za afya kwa kutumia cheti cha form four na ninataka kuomba higher diploma of education kwa kutumia cheti cha form six je???inawezekana?? pia nataka kuomba kozi moja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom