ibrah_alesalas
Member
- May 7, 2015
- 24
- 4
Mwalimu Zaituni Athumani Salumu WA shule ya msingi Luhuha ipo geita_halmashauri ya wilaya ya Geita, kata ya nyakagomba anatafuta mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa Dar es salaam halmashauri yoyote ndani ya mkoa huo au Mkoa wa Pwani halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo au halmashauri ya Wilaya ya Kibaha
Kwa mawasiliano:
0656004147
0785619141
0764743637
Kwa mawasiliano:
0656004147
0785619141
0764743637