Mwenye kujua hili anisaidie

visent

Member
Oct 24, 2013
22
0
Naomba kuuliza kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wenye mkopo na hata wasio na mkopo.

Hapa chuoni kwetu kuna tatizo moja,katika hela tunayopewa kutoka bodi ya mikopo. Kila tukishasaini hela inayoingia bank si ile niliyo saini.Je haya makato yanayokatwa hukatwa na bodi ya mikopo, bank au chuo?

Jamani wana jf naomba mwenye majibu anisaidie.
 
Are you real a university student? Mbona haueleweki? Ebu jaribu kusoma tena post yako, perhaps we will be able to help out...
 
Yaaaa mi ni mwanafunzi was chuo labda haukuelewa ni hivi unakuta umesaini hela sh 510000 lakin bank inawekwa 506300 sasa hii hela nyingine huwa inakatwa na watu gan chuo au bodi
 
Back
Top Bottom