Karbu chuo cha St.Joseph kwa mwaka wa masomo 2016/17

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
75
Ikiwa ww ni mwanafunzi unaetaka kufikia ndoto zako za elimu karbu ktk chuo chetu cha st.joseph katika course za
1.Mechanical engineering
2.electronics and communication engineering (ECE)
3.civil engineering na
4.course za Education.

Karibuni sana.Asanteni
 
Sijaona chuo kinachojielewa kama kcmc au bugando wanajtangaza, wanafunzi wanagombania wenyewe
 
Mtu atayeapply St Joseph mwaka huu akapimwe akili kabisaaa
Mkuu jamaa wako vizuri saana katika kucheza na system ya usajili ya TCU labda mwaka huu watu waogope hii kasi ya JPM. Kwa kawaida kuna vyuo lazima wapate watu wa kutosha wao kwanza halafu vyuo vingine vinafuta. Utashangaa watavyopata hilo nyomi kabla ya vyuo vyenye heshma zake.
 
Kipaumbele ni kupewa mikopo
 
Kipaumbele ni kupewa mikopo
Kuna kamchezo pale sio bure, hivi Mkuu mtu na akili zake anaweza kuacha chuo chenye sifa zake akaenda vyuo kama hivi ambavyo mtu akikukiletea cheti chake lazima uulizie TCU kama wakinatambua? Halafu jiulize hilo nyomi la watu wanalipataje?
 
Back
Top Bottom