Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hivi mtu kasoma LLB na ana GPA ya 2.6 anaweza kusomea Masters ya Education??
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Kuanza kuvaa sare kwa walimu kuna ukweli ndani yake ? Maana kuna source ya hbr niliipata inasema zoezi litakamilika mei mosi na walimu wakuu wataenda halmashauri kuchukua hizo sare
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani hivi vyuo vya afya hapa Tanzania hasa ngazi ya Certificate na Diploma mbona vinaongozwa kilocal sana. Unakuta wakuu wa vyuo na Drs ambao wanafundisha wamekua mungu watu. Mbaya zaidi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi mwalimu Yusuph wa Morogoro Kilosa nataka mtu wa kubadilishana naye kutoka Dar au Bagamoyo. Namba zangu za simu ni 0713841492
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa aliyechaguliwa hapo form5 2013 jaman tuwasiliane kupitia 0758949340.
0 Reactions
88 Replies
18K Views
Ningependa kupata mawazo na pengine kufahamishwa kidogo kuhusu sheria za muongozo wa vyuo vikuu. Graduation inatakiwa kufanyika muda gani baada ya kuwa umehitimu?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo hii nimepitia Central Admission System ya NACTE. Nimekutana na kitu hiki: Welcome to Central Admission System for Certificate,Diploma,Higher Diploma and Bachelor Degree for Ordinary Diploma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi wakuu Kuna rafiki yangu amekuwa na ndoto ya kujiunga na jeshi la polisi baada ya kuhitimu shahada ya kwanza ya uuguzi Kusudi la kuandika uzi huu ni kuwa mwenye kuelewa kuhusu kama akimaliza...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Pamoja na kukua kwa sayansi na teknolojia,lakini NACHINGWEA kwao ni tofauti kabisa. Wanafunzi walitangaziwa kufunga chuo tar.10/03/2016,wakaambiwa chuo kitafunguliwa tar.29/03/2016,walisisitizwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ongezeko la vyuo na fani mbali pia na upanukaji wa soko la Afrika Mashariki, Je kama vijana wa Kitanzania tumechukua hatua gani katika kutatua changamoto kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii forum, Nasoma computer science diploma na ni mkazi wa dar es salaam. Leo tumepewa barua za kuomba field ili tukaombe mapema ili ikifika mwezi wa saba tuwe tayari...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Closed
Hili swali nimejiuliza bila kupata jawabu, kwanini shule za Katoliki zinapasua ukilinganisha na ashule nyingine za seminari za Kikristo? Shule za Lutheran, zimechemsha, Anglicana wamatokota...
1 Reactions
78 Replies
9K Views
Kuna vyuo kama kile cha hali ya hewa cha Kigoma kinachukuwa watu waliomaliza form 6 PCM lakini ni kwa ngazi ya Diploma. Je hiyo ni advanced diploma au higher diploma? Je mshahara ukiajiriwa ni...
0 Reactions
2 Replies
897 Views
TAFADHALI KWA ANAYEKIJUA VIZURI CHUO CHA AFYA CITY COLLEGE ANISAIDIE WASIFU WAKE.....NAHITAJI KUSOMA CERT. IN CLINICAL MEDICINE
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mi ni mwanachuo mwaka wa kwanza ktk fani ya education .ndoto zangu zilikuwa ni kusomea civil engineering bahati mbaya ckupata hiyo mwaka jana kutokana na ufaulu wangu kwan matokeo ya form vi ni...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
NAOMBA KUJUZWA VYUO VINAVYO TOA NTA LEVEL 1 YA UMEME AU FOUNDATION COURSE KWA MTU MWENYE D MBILI 4M 4
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jama naomba kuuliza kuwa, Ili ufanye kazi za kikemia kwa elimu ya juu, uwe na angalau kiwango gani cha elimu? Na je, masomo yanayohitajika chuoni ni kemia hio hio au mchanganyiko na masomo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za...
4 Reactions
585 Replies
58K Views
Hawa watu wa IT department ya NACTE kama wameshindwa kazi kwanini wasijiuzulu?? Nimekuwa nikijaribu kufanya usajili kwa takribani siku tano sasa lakini kila nikija kwenye ku-choose course...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kujua kama mtu ukipoteza cheti cha chuo ngazi ya bachelor unaweza kupewa kingine na chuo husika. Nimepoteza cheti changu cha chuo na kinahitajika kazini haraka sana mara ya kwanza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom