Wakuu heshima kwenu,
Kuna kijana hapa mtaani ameniomba ushauri nimeleta kwenu maana dah story yake ni ndefu na yakuhuzunisha in short.
Ni kijana wa miaka 23 alimaliza form four mwaka 2011 na...
Habari wanajamvi.. Nimekua naona matumizi mengi Ya haya maneno ELIMU YA HAPA NA PALE. mfano katika thread mbali mbali maneno yametumika sana nimewazua sana ila sijalielewa kaaaabisa. Msaada...
Mwenye kitabu cha (Quantitative Techniques in Management, 3e By N D Vohra) naomba anitumie soft copy kwenye email hii..
jafariomy@gmail.com
thank u in advance
inaonekana mwaka huu kama vijana wamechelewa sana kuapply nafasi mbalimbali za masomo katika vyuo vya serikali, hii ni kulingana na kuwa miaka ya nyuma hasa mwaka jana hasa kwa wanfunzi...
Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka 2014 na kupata gpa ya 1.4 na ufaulu katika masomo saba aliyofanya ni huu.
Kisw B eng B geo B cvcs D bios E histor E math F na yeye ndoto zake ni...
Wanajamvi naomba kujua mambo ya kufuata na vitu vinavyohitajika wakati wa kujaza fomu za mkopo wa elimu ya juu.
Au kama unaweza kueleza chochote kuhusu uombaji wa mikopo nitashukuru pia.
Ukiweza basi ujue upo kati ya watu wenye IQ above average kwani wengi binadamu wengi sana walishindwa kupata jibu sahihi, uwanja ni wako (zingatia muda unaotumia pia kupata jibu)!!
9 - 3 ÷ 1/3 +...
Ndugu wanajamvi,niko na mdogo wangu kike aliyefaulu kwenda kusoma shahada ya medicine katika chuo cha Herbat Kailuki
Naomba kujua kwa ambao wanafahamu agency(ies) ambazo zinatoa udhamini katika...
Naomba kuzijua short courses zitolewazo maeneo ya DIT, VETA na vyuo vingine vilivyopo Dsm, hususani zinazo'relate na Field ya Civil Engineering kama AutoCAD etc
Habari wanataka jamii
Naomba msaada wa kuhusu Umwagiliaji
Nitapima wapi maelekezo au mafunzo sahihi ya kilimo cha Umwagiliaji maji.
Kitu zaidi ninachotaka kujua ni water pump ya saizi gani ni...
Wadau mdogo wangu anastashahada anataka kujiunga na degree 2o16/2017 ameshajisajili kupitia NACTE lakini sasa amesitisha kwani vyuo anavyovitaka havipo zipo institute tu UNIVERSITIES kama...
Ningependa kujua:
a)umbali wake toka Tabora Mjini mpaka chuoni ni kiasi gani?
b)Fursa za Kibiashara Zinazo Weza Kufanya Kujipatia Kipato Maeneo ya Nje ya Chuo?
c)Mazingira yake ya Kitaaluma...
Habari wakuu,tupo miongoni mwetu wahasibu ambao wamekwishaajiliwa ama kujiajili,lakini tupo wale ambao tumehitimu mafunzo ya uhasibu na tunatafuta ajira,bila kusahau wale ambao bado tunasoma...
Nimeshangazwa sana na utararatibu wa mitihani ya mock Mkoani Geita hasahasa somo la Uraia kutokan na kuwa na swali moja tu lenye item( a-n)badala ya namba pia kuna ufupisho katika passage...
Mitihani ya Mock kwa mkoa wa Geita imeanza Jana na kuendelea kwa form four jambo ambalo si la kawaida mitihani hii inasimamiwa na walimu wa shule husika na kusahishwa na mwalimu wa somo
Usimamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.