Je ninaweza soma shortcorse ya miezi3 katika fani ya umeme kwa corse zitolewazo veta kipawa nikaweza ruhusiwa na tanesco kufanya wiring ktk nyumba kibiashara
nina mdogo wangu ambae amemaliza kitado cha nne 2012 hakufaulu vizuri kipindi hicho alipata vi d vitatu kwa maana hiyo alipata 4 point 32 nahitaji kumsaidia huyu kijana ambae lengo lake ni kuwa...
Kwa kawaida maisha yanaenda kwa ushauri japo muda mwingine tunaishi kwa maamuzi magumu, kwangu mimi nimeamua kuelekea ualimu baada ya safari ndefu ya biashara na kujikusanyia kias kadhaa cha Tsh...
Habari wana Jf.!
Nilisikia tetesi kuwa mwaka huu atakayepata division 3 kidato cha sita hataweza kujiunga na vyuo vikuu vya serikali na ataanza na level ya diploma na si degree. Je hii ni kweli...
Naomba kufahamu vyuo vinanavyotoa Diploma of Civil, Electrical, Water Eng, Computer etc ambavyo vinatoa masomo muda wa asubuh na ratiba nyingine wanafunzi wanaruhusiwa kusoma masomo Mchana au...
Wakuu naomba msaada kwa mwenye ujuzi na hili,
Naulizia Shule ya bweni/day yenye ada nafuu sana, kuanzia laki 7 kushuka chini ambayo nitaweza kumsomesha kijana wangu kuanzia form 2 mpaka4 Iwe...
Kumekuwa na ubaguzi wa walimu hasa hasa kwa wale ambao ni degree holder na wale ambao ni diploma holder!!
Yaani ni inasikitisha sana, mimi binafsi ni degree holder, nimeajiriwa mwaka huu...
Naomba kufahamu vyuo vinavyofundisha kozi za uhandisi kama "Diploma" in (Civil, Electrical, Water Eng, Mechanical,Computer etc) ambavyo mwanafunzi anaweza soma asbh na ratiba nyingine wanaweza...
Kwa wale wanaopenda kuongeza ELIMU
INTRODUCTION
The Mwalimu Julius Nyerere Memorial Scholarship Fund is an endowment fund established by the Bank of Tanzania (BOT) on 12th October, 2009 to...
Habari wanaJF.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia uvujaji wa mitihani ktk shule mbalimbali au kitaifa hali inayopelekea baadhi ya wanafunzi kufutiwa matokeo ya mitihani yao.
Uvujaji wa...
Hii Ni HESABU chemsha bongo. Ebu ifanye. ITAKUSHANGAZA NA NI YA UKWELI!!
1: Chukua namba ya mwisho ya simu yako
2: Izidishe kwa 2.
3: Jibu lake JUMULISHA 5
4: Jibu lake ZIDISHA kwa 50.
5: Jibu...
Nataka kujua jinsi gani yakujiunga na vyuo hivi vya kilimo na mifugo.
Maana utaratibu ulowekwa na nacte kwenye Mtandao kwa vyuo hivo haupatikani kama vyuo vya Ualimu na Afya.
kwa anayeijua program hii naomba ufafanuzi kwasababu nimeicheck chuo cha Jordan, Morogoro sijaona koz zilizopo ndani yake.
Nipo interested ktk kuisoma
Mf. ina deal na nini?
au kama mtu anajua...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Nimesikia kwenye vyombo vya habari Kitendo cha Afisa Elimu (M) Sumbawanga Kumzaba vibao Mwl wa shule ya msingi Darasani.
Nimemshudia Afisa Elimu(m) jiji la...
Habari zenu wanajukwaa.Natumai ni wazima wa afya.Poleni na majukumu.
Leo nimekaa zangu nyumbani natafakari mawili matatu. Ghafla mwanangu wa miaka 7 akanigusa bega na kunisalimu. Baada ya salamu...
Kumekuwapo na tuhuma za muda mrefu pale law school kuhusu uchakachuaji wa matokeo japo hazina uthibitisho lakini lisemwalo lipo. Miongoni mwa tuhuma hizi ni uuzwaji wa matokeo ya watu kunakofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.