Zimebaki siku 45 udahili NACTE ufungwe, uliyeomba kozi za Afya zingatia haya

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher;
Udahili Unafungwa Tarehe 31/05/2016
Zimesalia Siku 45.

Ewe Mwanafunz Unayeomba Kozi Za Afya! {Nursing, Physiotheraphy, Clinical Medicine, Dentist. Lab Tech, Community Health} Usije Ukakurupuka Ukajaza Vyuo Vyenye Majina Vya Serikali Ukiwa Kama Una Ufaulu Wa Manat Au Kamili Yaani: Kwa Diploma {CHEM-C, BIOLOGYP-C PHYS-D} halafu Masomo Mengine Kama Math, English! Umezingua! Then Unaenda Unajaza MUHIMBILI, KILOSA COTC, MAFINGA COTC, Au Chochote Cha Serikal Diploma Kisa Wewe Una C mbil Na D Ya Phys! Hapa Unaenda Kujipigilia Msumari! Na Utapoteza Kabisa Ndoto Zako! Kwa Maana Nafas Huwez Kupata! Kwa Sababu Kuna Watu Wanaomaliza Kidato Cha 6 Na Kuharibu Hvyo Huchukua Vyet Vyao Vya Kidato Cha Nne Vyenye Ufaulu Mzur Na Kuja Kuomba Koz Kweny Vyuo Hvyohvyo Vikubwa! So Hapo Wewe Kupata Ni Ndoto!!
NIN CHA KUFANYA;
Kama Una Ufaulu Wa Manati {C Mbili D Moja} Kama Nyumbani Mambo Mazuri Vya Serikal Viwil Na Private Kimoja Unachoweza Kumudu Ada!! Au Kama Nyumban Mambo Magumu Jaza Tu Diploma Viwil Cha Mwisho Weka Certificate! Trust Me Huwez Kukosa Nafasi.
 
Vp mkuu kuhus HK Chuo cha city collage kipo vizur n mazingira yk yap tulivu kW ku
 
Kuna issue huwa sielewi Kuna chuo kimoja nimeenda nimeambiwa Kuwa kama nataka kusoma hapo wao Wana uwezo wa kunisajili kwenye panel Yao moja kwa moja na ninakuwa na uhakika wa kuchaguliwa hapo
 
Apana sio rushwa ni utaratibu ukienda kufanyia application chuon unachangia kam unakipnd hcho chuo ukitumia hyo njia unakuwa na uhakika wa kuchaguliwa kwan wanafnya wao kwa njia ya nacte na chuo kinapt first preority
 
Hawa nacte mbona siwaelewi kwenye profile yangu wameniandikia congratuation u have been selected intake April 2016 ,but hawajaonyesha ni chuo gani what this??
 
Kuna issue huwa sielewi Kuna chuo kimoja nimeenda nimeambiwa Kuwa kama nataka kusoma hapo wao Wana uwezo wa kunisajili kwenye panel Yao moja kwa moja na ninakuwa na uhakika wa kuchaguliwa hapo
Huu ni uongo sana unaofanywa na hvi vyuo. Serikali imetoa na kuweka NACTE kama taasisi ya kukuchagua kusoma sasa wwe kwann upitie uchochoroni? Watakupitishia dirishani ushangae maisha yako. Apply nacte kama una sifa utapata kwann ujitie matatizoni
 
Ni kweli vyuo vyote vina panel ambayo inattumiwa na vyuo kuwasaidia applicant kuapply na wanaweka hizo data moja kwa moja kwenye system ya nacte advantage yake unakuwa na uhakika wa kuchaguliwa kwenye hicho chuo kama competition sio kubwa
 
Sabakher;
Udahili Unafungwa Tarehe 31/05/2016
Zimesalia Siku 45.

Ewe Mwanafunz Unayeomba Kozi Za Afya! {Nursing, Physiotheraphy, Clinical Medicine, Dentist. Lab Tech, Community Health} Usije Ukakurupuka Ukajaza Vyuo Vyenye Majina Vya Serikali Ukiwa Kama Una Ufaulu Wa Manat Au Kamili Yaani: Kwa Diploma {CHEM-C, BIOLOGYP-C PHYS-D} halafu Masomo Mengine Kama Math, English! Umezingua! Then Unaenda Unajaza MUHIMBILI, KILOSA COTC, MAFINGA COTC, Au Chochote Cha Serikal Diploma Kisa Wewe Una C mbil Na D Ya Phys! Hapa Unaenda Kujipigilia Msumari! Na Utapoteza Kabisa Ndoto Zako! Kwa Maana Nafas Huwez Kupata! Kwa Sababu Kuna Watu Wanaomaliza Kidato Cha 6 Na Kuharibu Hvyo Huchukua Vyet Vyao Vya Kidato Cha Nne Vyenye Ufaulu Mzur Na Kuja Kuomba Koz Kweny Vyuo Hvyohvyo Vikubwa! So Hapo Wewe Kupata Ni Ndoto!!
NIN CHA KUFANYA;
Kama Una Ufaulu Wa Manati {C Mbili D Moja} Kama Nyumbani Mambo Mazuri Vya Serikal Viwil Na Private Kimoja Unachoweza Kumudu Ada!! Au Kama Nyumban Mambo Magumu Jaza Tu Diploma Viwil Cha Mwisho Weka Certificate! Trust Me Huwez Kukosa Nafasi.
INAELEKEA UNA UZOEF WA HII KITU. EBU SI NASIKIA FORM SIX WALIODUNDA WANAFIKIRIWA BAADA YA WALE WA MWAKA HUUU, JE HII NI KWELI. PASI ZANGU NI HIZI NITAPATA GOV: II 20 CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' FOOD - 'C'
 
Yah! Form 6 Mwenye E Za Sayans Mbili Yuko Active Sana Kupata Chuo!! Inashauriwa Kama Una Chet Cha Form 6 Kiweke Pia Pale Nacte. Kwa Ufaulu Wako Clinical Officer Government Kupata Ni 50%! Ushaur Jaza Viwili Vya Serikal Kimoja Cha Private Chenye Ada Nafuu Ikiwezekana Kilicho Karibu Na Kwenu!! Ila Kama Unataka Nursing Unapata Fasta Tena Serikalin.
 
Kuna tangazo nacte wametoa leo kuwa kama kuna watu wantaka waende intake ya april kuna dedlne wametoa tena kuwa watu waombe tena maana kuna vyuo havina kabisa
 
Msaada wana jf kwa anayekifahamu kwa undani chuo cha RUBYA HEALTH TRAINING INSTITUTE kilichopo kagera chenye usajili wa REG/HAS/0017
Ni chuo bora au kinatoa elimu isiyo na tija kwa kozi ya clinical medicine?
Chuo kinamilikiwa na FBO
 
ni chuo bora ila hiyo kozi haina mda mrefu imeanzishwa hapo ila ni wazuri maana hata ada yao sio kubwa kivile
 
Back
Top Bottom