Short Courses zinazohusiana na Field ya Civil Eng

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Naomba kuzijua short courses zitolewazo maeneo ya DIT, VETA na vyuo vingine vilivyopo Dsm, hususani zinazo'relate na Field ya Civil Engineering kama AutoCAD etc
 
Nimefundishwa sana mkuu sema nataka kusomea kabsa ili niweze kuwa na Cheti /certificate yake kabsa
 
Naomba kuzijua short courses zitolewazo maeneo ya DIT, VETA na vyuo vingine vilivyopo Dsm, hususani zinazo'relate na Field ya Civil Engineering kama AutoCAD etc
Ulishindwa kuwa specific zaidi? Kusema ulitaka kujua short courses ni swali mtambuka unatakiwa kufahamu ni nini unataka kujifunza!
 
Aisee mkuu yaan swali mtambuka hulijui af unataka shortcourse ya autocad me nakushauri anza na shortcourse ta kiswahili
 
wakuu msaada kwa hili katika course za engeneering na technology kunakua kuna navigezo vya direct na pree entry na tunajua saizi hakuna kuapply direct ni kwenye mtandao but hawaja specify kwa wale wanao apply pree entry na direct sasa cjui kama wata waspecify wao wenyewe au kunanjia nyingine yakuapply
 
Wale wasio na CCC katka physics, chemistry na math wanaenda moja kwa moja bt wale wengne wanaenda kupiga Pre entry
 
Back
Top Bottom