Pata elimu kiganjani mwako BURE kwa kujiunga na huduma ya MAKINI SMS na ujisomee masomo ya O-level kwa njia ya simu. Baada ya serikali kubaini kwamba wanafunzi wengi hufeli mitihani yao kwa kukosa...
Habari wana jamvi,
Mim nime apply vyuo vya afya sasa nauliza post za advance zikitoka nimechaguliwa alafu vyuo selection zikawa bado! Je nitafanyeje? Na je vyuo selection zinatokaga mwezi wa...
Wadau,
Muda wowote kuanzia sasa, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) itatangaza kupitia vyombo vya habari ikiwemo tovuti yake (www.heslb.go.tz) kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa...
Profile ya Institute yetu wanafunzi wa certificate na diploma za ict Muda wa kuapply ndo huu kwa mawasiliano zaidi piga namba 0779888204 au 0777141565 au 0779888201 au 0778888390
Swali langu, mimi nina diploma ya IT.
Nataka kuapply 2016/2017 Bachelor, mbona NACTE hawajaweka list ya vyuo vyote.
Kwa hiyo hivo visivyowekwa hatuviombi?
Na je naweza nikasoma faculty ya...
Wadau naomba mnisaidie mimi ni muhitimu wa kidato cha nne 2015 nimefanikiwa kupata dívision 2 ya point 19 katika maisha yangu ya O level sikupenda somo la biology japo nilikua nachukua science...
Ndugu wanajanvi habarin,
Naombeni ushauri kwa wale waliofanikisha au kwa ambao mko katika mchakato wa kuhama.
je kuruhusiwa kuhama kwa kubadilishana kwa walimu ni mpaka ukae mda gani katika...
Habari Zenu wana Jukwaa.
Naombeni mnishauri hapa. Ninamdogo wangu amemaliza form six mwaka jana - HKL. Kutokana na mambo mbalimbali hakuweza kuendelea na masomo yake ya juu yaani Chuo.
Sasa tuko...
Muda mwingi huwa nawaza mafanikio naweka plan zangu tayari kwa kuzifanyia kazi lakini tatizo linakuwa katika utekelezaji nitafanya siku ya 1 na 2 baada ya hapo sifanyi tena , Nina vitabu vingi...
Wana jf ! Aliye na ufahamu juu ya maombi ya kujinga na chuo cha mbeya (MIST) ngazi ya diploma , bado wanapokea maombi maana kwenye website yao form za kujiunga wameziondoa hazipo ...
Naihariri thread yangu...
Mimi nipo kidato cha 5 ninamini mungu yupo nami Na ninamuomba nimalize vyema may 2017 Mungu akitupa punzi.
Nates, don't you see, madam kibani? tuachieni chance...
Habari za muda huu wana JF.
Natumai wote wazima ..Kwa msaada wenu nina mdogo wangu kamaliza mwaka 2014. Amepata credit 2, yeye anataka kujiunga na Account yani uhasibu ana g.p.a ya 0.6.
Je kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.