Mazingira ya Chuo cha Ufugaji Nyuki Tabora(B.T.I) Yakoje?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Ningependa kujua:
a)umbali wake toka Tabora Mjini mpaka chuoni ni kiasi gani?
b)Fursa za Kibiashara Zinazo Weza Kufanya Kujipatia Kipato Maeneo ya Nje ya Chuo?
c)Mazingira yake ya Kitaaluma yakoje?Maabara ya Kompyuta,na Practical Hufanyikia Wapi?A
d)Ajira Zake Zinakuwa Chini ya Serikali Kuu au Mitaa?
e)Bei ya Vyumba Pembezoni Mwa Chuo Zikoje?
Ningependa Kusomea Stashahada yangu ya Beekeeping Hapo!
Wenyeji Naomba Mnisaidie!
 
nenda tabora mjini, chukua usafiri watajie unaenda chuo cha nyuki, watakupitisha polisi au kiteto, mkoani bara bara iendayo airport utakaribishwa u-enjoy mwnyw
 
mkuu,asante kwa kunikaribisha!naomba namba yako unayotumia whatsapp!halafu kuna mwanafunzi anayesoma hapo unae mfahamu?
 
Najibu kwa kadri ninavyojua;-

a) Chuo kiko umbali wa kilomita 4 kusini mashariki toka Tabora mjini, barabara inayoelekea Uwanja wa ndege.

b) Inategemeana ni biashara gani unataka uifanye.

c) Maabara ya kompyuta ya kazi gani kwani wanafundisha Computer engineering au Information Technology? Computer kadhaa za kusomea somo la introduction to computers zinatosha. Practicals zinafanyika maabara na pia msituni kwenye nyuki.

d) Ajira yaweza kuwa ya serikali kuu au serikali za mitaa.

e) Bei za vyumba Sijui.
 
mkuu,salute!ni biashara ya uandaaji wa juisi kwa kuandaa kwa blender au juice extractor kisha unaitia kwenye juice dispenser!halafu nauza na bites kidogo dogo!mkuu unaweza namba zako nikucheki whatsapp?halafu kuna rafiki yeyote anayesema hapo uni connect nae?
 
Chuo kipo mahali pazuri sana,chini ya miti, karibu kabisa na chuo cha Ardhi.
Chuo kipo mtaa wa Cheyo B, Kuelekea Airport tena barabarani na ni mjini pembeni kidogo tu,
Ajira ni nyingi sana serikalini na Halmashauri na watu huwa hawapatikani.Chuo kina hosteli zake na ni chuo pekee kinachochukua watu wachache kabisa na wanapata ajira wote ilimradi umefaulu.Biashara ya mgahawa,grocery,stationary possible
 
asante sana,una mtu unae mfahamu na anasomea hapo kwa sasa?
 
mkuu,salute!ni biashara ya uandaaji wa juisi kwa kuandaa kwa blender au juice extractor kisha unaitia kwenye juice dispenser!halafu nauza na bites kidogo dogo!mkuu unaweza namba zako nikucheki whatsapp?halafu kuna rafiki yeyote anayesema hapo uni connect nae?

Namba Yangu ni;-
Sifuri Saba Moja Sita Sita Nne Tisa Nne Nane Mbili.
 
Back
Top Bottom