Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Hapa Tanzania,ukiacha kile cha Tabora kinachotoa Diploma na Cheti,na vyuo gani vinavyotoa kozi hiyo ngazi ya Shahada!?
asante,mkuuCoNAS UDSM
wa sawa!asante,mkuu
siwezi enda uko,udsm itanipa priviledge ya kuwa tutor hapo mbeleni!udom BIG NO
asante,mkuuUdom
mwaka mmoja au mitatu?Tuition fee ni 1,300,000/=
mwaka mmoja au mitatu?
ahahaha,sawa mkuu!nataka nipige diploma ya beekeeping,halafu nipige jiwe ili niwe mkufunzi ngazi ya diploma na certificateHiyo ni ada kwa mwaka, alafu acha utani unataka kulipa ada kwa mkupuo wa miaka mitatu mkuu...?
Anyways Hongera kwa kulenga kubaki kufundisha, nenda ukapige msuli wa maana na MUNGU atakusaidia kutimiza ndoto yako. Kila la heri.
ahahaha,sawa mkuu!nataka nipige diploma ya beekeeping,halafu nipige jiwe ili niwe mkufunzi ngazi ya diploma na certificate
mkuu,kile cha tabora najua kipo japo sijawahi kufika!vipi ushawahi kukiona?mazingira yake yakoje?Halafu ulisema SHAHADA (DEGREE) kumbe unataka kusoma STASHAHADA (DIPLOMA). Stashahada nenda kapigie unyamwezini Tabora mkuu.
mkuu,kile cha tabora najua kipo japo sijawahi kufika!vipi ushawahi kukiona?mazingira yake yakoje?
asante,aisee!ukimpata wa kada hio ebu niunge nae au kama kuna group la whatsaap ebu waniunge 0627829052Hapana, hua nakisikiaga tu sijawahi kukiona, ila nadhani ni sehemu nzuri, mimi niko kada nyingine mbali na hiyo mkuu.