uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 8,602
- 19,421
Mitihani ya Mock kwa mkoa wa Geita imeanza Jana na kuendelea kwa form four jambo ambalo si la kawaida mitihani hii inasimamiwa na walimu wa shule husika na kusahishwa na mwalimu wa somo
Usimamizi na usahishaji ni bure maana ni sehemu ya kazi sina swali sana hapo ila kwenye usimamizi na usahishaji ndio ninashaka napo namuomba waziri wa elimu arudishe utaratibu ule wa zamani ili kulinda ubora mchache uliobakia kwenye elimu