Maombi ya bachelor 2016/2017

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
475
Wadau mdogo wangu anastashahada anataka kujiunga na degree 2o16/2017 ameshajisajili kupitia NACTE lakini sasa amesitisha kwani vyuo anavyovitaka havipo zipo institute tu UNIVERSITIES kama UDOM,UDSM ,SAUT zote hazipo sasa Hili swala mnalielewaje hasa kwa waombaji wenye shahada?;);););):confused::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Asubiri hadi hapo TCU watakapotoa Guidebook ya mwaka 2016/2017 na walisema watatoa baada ya matokeo ya wanafunzi wa kidato cha sita kutoka.
Najua utajiuliza ni kwanini asubiri TCU wakati yeye anatakiwa kuomba chuo kupitia NACTE, jibu ni kwamba NACTE na TCU watapokea maombi kwa wakati mmoja. (Equivalent/diploma wataomba NACTE wakati Direct/form six wataomba TCU ila itakua kwa muda mmoja). Swali lingine utakalojiuliza ni kwamba hiyo guidebook yenye vyuo vichache na ile deadline ya tarehe 31 mwezi huu ni ya nini, jibu ni kwamba deadline hiyo na pia hicho kitabu-elekezi ni kwa wale wenye diploma na wanataka kusoma digrii kwenye VYUO VYA UFUNDI kama vile DIT, ATC, MUST na vinginevyo.
Nadhani nimekujibu.
Tuko wengi tunaosubiri katika hili, so relax...!
 
Samahani mkuu. wewe ni Ke au Me
 
Back
Top Bottom