Msaada: Nini maana ya elimu ya hapa na pale?

intermediate

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
232
166
Habari wanajamvi.. Nimekua naona matumizi mengi Ya haya maneno ELIMU YA HAPA NA PALE. mfano katika thread mbali mbali maneno yametumika sana nimewazua sana ila sijalielewa kaaaabisa. Msaada tafadhari hata mi ntapenda kulitumia. AHSANTE
 
Sina hakika Sana lakini nadhani wakimaanisha elimu ya longolongo. Yaani ya ku-ungaunga. Isiyo na hadhi japo inatambulika.
 
Ni elimu ambayo imepatikana kwa njia ambazo ni ngumu kuelezeka, isiyo eleweka eleweka, ya kuungaunga, ya kijanja kijanja, kwa kweli ni ya HAPA NA PALE.
 
e7cc85bc1b7849c97ae0063ed1522cb5.jpg
 
Elimu ya kuokoteza kama kuku.....elimu ya magumashi.....kama hujatosheka na haya majibu....nenda kamuulize mwenyewe.....
Shukran mkuuu. Niliona kwenye Uzi flani kunamchangiaju alisema Mwenyekiti Wangu Mh Mbowe et ana Elimu Ya hapa na pale.. nikapata ukakasi kidogo.
 
Back
Top Bottom