Msaada juu ya hili jamani

chrismwawa

Member
Jul 2, 2015
6
0
Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka 2014 na kupata gpa ya 1.4 na ufaulu katika masomo saba aliyofanya ni huu.

Kisw B eng B geo B cvcs D bios E histor E math F na yeye ndoto zake ni kuwa mwalimu na kwa sasa kwenda ualimu ni kuanzia gpa ya 1.6 au division 3.

Tusaidieni jamani kama ualimu imeshindikana anaweza kwenda wapi kwa matokeo hayo!
 
Ningekushauri ila Sijui chochote kuhusu hayo matokeo ya maJIPIEI
gpa ni mfumo wa utoji wa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2014 ambao ulihusisha class zifuatazo: dinstiction =dvsion one. merit=dvision two. credit=divisio three na pass=division four. sasa kwa hayo matokeo tukisema ana gpa ya 1.4 =na ufaulu wa daraja la nne yaan pass kama nilivokwisha eleza hap mwanz ambayo ni sawa na divisio 4 jinsi ya kujua ni 4 ya ngapi ni kuhesabu hayo masomo hapo. nimejaribu kuelezea kwa kadri nielewavyo mm lkn mm co mjuz zaid kama wapo wanaofahamu zaid ya hapo basi atusaidie.
 
Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka 2014 na kupata gpa ya 1.4 na ufaulu katika masomo saba aliyofanya ni huu.

Kisw B eng B geo B cvcs D bios E histor E math F na yeye ndoto zake ni kuwa mwalimu na kwa sasa kwenda ualimu ni kuanzia gpa ya 1.6 au division 3.

Tusaidieni jamani kama ualimu imeshindikana anaweza kwenda wapi kwa matokeo hayo!
Mpeleke chuo cha utumishi wa Umma) Tanzania public service college) akasome ama Secretarial course au Record management.

Vyuo vya utumishi wa Umma wanahitaji pass 3 tu kwa maana hata akiwa na D, D, D wanamdahili
 
asante sana@ mr raza.
 
Mkuu mbn hiyo ni 1.6 au Mimi ndo nimekosea kuhesabu?
B=3×3
D=1×1
E=0.5×2

Ukijumlisha zote yaani (9+1+1) unapata jumla ya alama 11 ambayo ukigawanya kwa idadi ya masomo Saba unapata 1.57 ambayo approximately ni 1.6.

NB: Sina hakika na nipo tayari kurekebishwa.
 
unajua hata me binafs nashindwa namna ya kuhesabu ndo maana nikaileta humu. lkn kwenye chet inaonyesha n gpa ya 1.4 . na vip sasa kwa ufaulu huo wa masomo hawez kwenda advance?
 
Ukikokotoa kwa grade za sasa hivi ni division 3 ya 24
unajua hata me binafs nashindwa namna ya bu ndo maana nikaileta humu. lkn kwenye chet inaonyesha n gpa ya 1.4 . na vip sasa kwa ufaulu huo wa masomo hawez kwenda advance?
Ukikokotoa kwa grade za sasa hivi ni division 3 ya 24. Hebu Fanya mchakato umtafutie shule ya binafsi uwaulize maana inaonekana ana nafasi ya kuendelea
 
Ukikokotoa kwa grade za sasa hivi ni division 3 ya 24

Ukikokotoa kwa grade za sasa hivi ni division 3 ya 24. Hebu Fanya mchakato umtafutie shule ya binafsi uwaulize maana inaonekana ana nafasi ya kuendelea
asante!
 
Back
Top Bottom