Mtihani wa utamilifu kidato cha nne (MOCK) mkoa wa Geita una swali moja tu

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
4,102
4,227
Nimeshangazwa sana na utararatibu wa mitihani ya mock Mkoani Geita hasahasa somo la Uraia kutokan na kuwa na swali moja tu lenye item( a-n)badala ya namba pia kuna ufupisho katika passage umeniacha solemba .....sick of JTS'S......
 
Sorry una swali moja tu limeandikwa namba moja lina roman(i-x) hakuna swali la pili ila kuna f-n....Mimi si mmilisi sana wa Kiingereza lakini hat kiingerza kilichotumika humu nakitilia shaka kwa mfano katika swali la kwanza roman (ix)....."TANU and Afroshiraz parties merged to form"....
 
Hapo kwangu nimeona tatizo la punctuation tu vinginevyo sijaona kosa zaid ya hapo
 
TANU and Afroshiraz two founding political parties merged to form"....
...
tatizo lipo hapo, vyama viwili viamzilishi viliungana kuunda....

swali lilipaswa kuulizwa form one, ni dogo sana kumpima mtoto ufahamu
 
Sorry una swali moja tu limeandikwa namba moja lina roman(i-x) hakuna swali la pili ila kuna f-n....Mimi si mmilisi sana wa Kiingereza lakini hat kiingerza kilichotumika humu nakitilia shaka kwa mfano katika swali la kwanza roman (ix)....."TANU and Afroshiraz parties merged to form"....
Is this not Siasa?....
 
Sasa tatizo liko wapi hapo ? Hakuna shaka hapo..yai lipo sawa kabisa.
 
Ndivyo mtihani ulivyo na heading yake ipo hivi...."THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT'S OFFICE REGIONAL ADMINISTRATIVE AND LOCAL GOVERNMENT
GEITA REGIONAL COMMISSIONER'S OFFICE
 
mbona hata hapo wamejitahidi pepa lote lingekuwa ma matching items swali moja pepa zima, tutaheshimiana tu mjini hapa
 
Ili kuinua ushindani na mikoa mingine ipo haja ya kuandaa mitihani inayokidhi viwango stahiki hatuwezi kuwapima vijana wetu kwa mtihani ya kiwango cha chini huku tukitegemea kuinuka kielimu,makosa ya kibinadamu yapo sikatai ila tunapaswa kuwa makini sana kuyapunguza kama wasomi typing error zipo sawa lakini tunapaswa kuhakiki vyema kupunguza makosa
 
Back
Top Bottom