Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Je? Nivitu vipi vinavyosababisha binadamu tuwe na rangi tofauti tofaut
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 24 na namshukuru Mungu katika umri huu tayari am a degree holder nikibobea kwenye maswala ya kilimo hasa upande wa udongo na mazao (agronomy) fani niliosomea pale SUA...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu. Naamini hapa ni sehemu pekee ambapo kunawataalamu wengi Sana na uzoefu mbalimbali. Wakuu nimekuja kuombwa ushauri ambao binafsi sikuweza kutoa jibu pengine kutokana na uzoefu mdogo au pia...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Jkt wametoa tangazo hilo kwenye website yao likiwataka vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu kuandika barua ya kuhudhuria mafunzo hayo mara baada ya masomo mwisho wa kuwasilisha barua ni...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
habari wanajamvi!nilikuwa na check qualification za ba of education with IT udom ni kakuta hiyo kitu i.e UQf level6
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jkt kwa form 6 baada ya kumaliza miezi mi3 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata div. three huendi kuchukua degree...
3 Reactions
78 Replies
19K Views
Habari wanaJf. Tukiwa kama wazazi/walezi wa wanafunzi wa kike wanaosoma shule za bweni kuna mambo ambayo hatuyafahamu lakini yanatendeka na ni hatari kwa afya za binti zetu na kitaaluma pia...
12 Reactions
81 Replies
12K Views
Wasalaam wana JF. Juzijuzi nilimsikia rais akitamka kuwa tunao wataalam wachache sana (takribani wa nne) nchi nzima wa maswala ya moyo. Ambapo alisema wawili wapo Muhimbili, mmoja Bugando na...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari za wakati huu. Nahitaji kusoma Masters of Religious Studies with Education mwaka huu ila ni mashirika gani naweza kupata udhamini ? NB:Nimeshapata hadi admission letter ya chuo husika...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Habari wadau, Naomba ushauri wa cozi gani nzuri inayohusisha education na computer science na chuo gani kizuri kinachotoa cozi hizo. Mimi ni mwaiimu lakini nataka kwenda kusoma computer ila kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Manispaa ya Iringa imekuwa inaongoza kieleimu kwa kipindi kirefu sasa. Hatua hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kujitolea na ufanyaji kazi wa kujituma wa Walimu kwa ngazi mbalimbali. Lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kwa muda mrefu sana fimbo zinatumiwa kama njia kuu ya kuwakanya wanafunzi na hata kudai kuwarekebisha pale wanapokosea!,binafsi sikumbuki kama kuna kipindi fimbo zimewahi kukatazwa mashuleni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu naomba tusaidiane kuwaeleza wahusika kuhusu walimu ambao hawajalipwa fedha zao za kusimamia mtihani Wa kidato cha NNE mwaka Jana 2015. Ndugu kunawilaya ambazo hadi sasa walimu hawajalipwa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Mnaalikwa Wote Kufika Pale Shuleni Kumuona Makamu Mkuu Wa Shule Mwalimu Ambrose Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Jumuia Ya Watu Wote Tulosoma Au Kufanya Kazi Hapo Baptist Sekondari School, Mkutano Huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari Mwaka huu nataka kurudi shule kidog ila nimekubwa na Mfadhaiko kidog kutokana na vitu ninavyotaka nataka kusomea corse mojawapo kati ya hizi 1. ORDINARY DIPLOMA IN HORTICULTURE...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
TAKRIBAN walimu 251,000 waliofuzu watahitajika kukidhi mahitaji ya shule za msingi nchini Tanzania ifikapo mwaka 2025 kutoka walimu 135,000 waliokuwepo tangu mwaka 2005, FikraPevu inaandika. Hali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 24,na namshukuru Mungu katika umri huu tayari am a degree holder nikibobea kwenye maswala ya kilimo hasa upande wa udongo na mazao (agronomy) fani niliosomea pale SUA...
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Nimeomba NACTE awamu ya mwezi ya saba, jina limetoka awamu ya mwezi wa nne. Nilipofuatilia gharama za chuo ni kubwa nami nilitarajia awamu ya kuanzia Julai maana nitakuwa nimejipanga. Nifanye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Greetings. Kuna anaefahamu wapi naweza jifunza Spanish and Portuguese in Dar, iwe affordable lkn.
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Habari wana jamvi Kwamara ya kwanza nimeamua kuleta Uzi huu kwenu...jamani inachosha Mimi Binafsi sipendi kusikia kuhusu ajira za ualim mwaka huu. Nina Inani na wengine wengi wanaosubili kama Mimi...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom