kwan mnnanza kuomba linwanajamvi naomba kujua mambo ya kufuata na vitu vinavyohitajika wakati wa kujaza form za mkopo wa elimu ya juu
au unaweza eleza chochote kuhusu uombaji wa mikopo.
nachokijua ni chet cha kuzaliwa saini za wadhamin wako picha za mzazi/mlezi then visaini sehem zote unazotakiwa kusain maana kuna mwaka 2013 watu walisahau kuweka sain tuu form zikarudishwa kwa ajir ya masahihisho xo wakalazimika kwenda dar kurekebishaa na shida huwa kupata chet cha kuzaliwa kama hauna maana apo ndio vibarua vya watendaji na wenyeviti mitaa huwa vinahitajikaakwan mnnanza kuomba lin
unatakiwa uwe na cheti za kuzaliwa, form 4, copy ya kitambulisho cha mdhamini wako mmoja kati ya hivi vifuatavyo: - kitambulisho cha kupiga kura, pass ya kusafiria au cha uraia.... na kama mmojawapo wa wazazi wako wamefariki hakikisha una cheti cha kifo au kama ni mlemavu uwe na barua ya uthibitisho wa daktari...ada ni 30,000/= ambayo hulipwa kupitia M-PESAwanajamvi naomba kujua mambo ya kufuata na vitu vinavyohitajika wakati wa kujaza form za mkopo wa elimu ya juu
au unaweza eleza chochote kuhusu uombaji wa mikopo.