Udhamini wa masomo ya medicine(bacherol)

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
900
431
Ndugu wanajamvi,niko na mdogo wangu kike aliyefaulu kwenda kusoma shahada ya medicine katika chuo cha Herbat Kailuki

Naomba kujua kwa ambao wanafahamu agency(ies) ambazo zinatoa udhamini katika masomo haya.

Ntashukuru
 
Kwani heslb hawajampa?
 
Najaribu kufungua profile haifunguki,halafu pia ada ya heslb inakuwa inapungua kama 2milion hivi kwa Hubert Kairuki
 
Hebu ona mwanafunzi wa mwaka wa pili wa HKMU anavyoandika

Walimu wako wakiona watasikitika sana
 
Niibox number ake nimsaidie ipu kairuk mwaka wa 2

Huo msaada si Ungetutajia humu, Kwa fikra kama zako Waafrika milele tutaendelea kubaki hiv hiv sababu ya ubinafsi., unaona ukiandika humu watu watafaidi sio?
Shame On You!
 
Huo msaada si Ungetutajia humu, Kwa fikra kama zako Waafrika milele tutaendelea kubaki hiv hiv sababu ya ubinafsi., unaona ukiandika humu watu watafaidi sio?
Shame On You!

Hilo jamaa lilishaanza kufikilia kwa kichwa cha chini baada ya kusikia mwenye shida ni binti...
 
Back
Top Bottom