Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,477
- 27,176
Naomba Kuuliza Vipi Kuhusu Hawa HESLB na TCU bado Hawajaanza Kupokea Maombi (Online Application) Kwa Ajili Ya Vyuo Vikuu Mwaka Wa Masomo 2016/2017?
Kuwa mvumilivu mkuu, ndio umemaliza kidato cha sita? au diploma?
Anyways, karibu katika kusubiri.
Mkuu Nimemaliza Diploma ya PHARMACEUTICAL TECHNICIAN ndiyo Nataka Niende Sambamba Na Mwaka Mpya (2016/2017) Wa Masomo.
Mbona mdogo angu kaaply Juzi TCU au ilikua magumashi?