Mkuu ungetoa hata na kazawadi cha like.Uko sawa kabisa umegundua mtego ulipo, wengi sana lkn wamechemka, hata hivyo hongera!
Duu sasa mtego hapo ni upi ? Kupandisha 3 juu ili uzidishe na hiyo 3 ya pembeni kuua sehemu ?
kanuni ya magazijuto jibu ni -1 na cyo moja coz 9-9+1=9-10 ambapo jibu ni -1
Uko sawa kabisa umegundua mtego ulipo, wengi sana lkn wamechemka, hata hivyo hongera!
Binafsi sijaelewa ulichofanya hapoKumbuka ukitumua MAGAZIJUTO ni lazima uchukuwe: -9 + 1 = 9 - 8=1