Ndugu zangu bodi ya mikopo hili tatizo letu la mikopo ilioenda sehem nyingine na tulipochaguliwa mmefikia wapi kulitatua njaaa inatuuuma sana ,kuna wengine ni watoto YATIMA mnategemea...
Ndugu wanajamvi hawa Bodi ya mikopo (HESLB) wanasikitisha sana.
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, mkopo wangu ulienda UDSM wakati mimi nimechaguliwa chuo kingine.Cha ajabu tokea nianze chuo...
Wadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye University/Chuo hapa Tanzania. Ameniomba ushauri kuhusu wapi ampeleke mtoto wake (Chuo...
jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC NASOMA TELECOMUNICATION AND ELECTRONICS NATAFUTA FIELD SASA KUNA KAMPUNI INAITWA CAM SAT SIJUI IPO WAP NATAKA NIKAOMBE HAPO JAMANI NISAIDIENI WIKI YA TANO...
Ndugu wanajamvi msinione nalia nataasisi hii wananitesa sana , Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa mwaka wa 1mikopo yao ilioenda vyuo vingine na tulivyochaguliwa hakika usiombe ukutwe wewe ,mwanao au...
Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria na vikosi walivyopangiwa.
1. http://jkt.go.tz/component/content/article/185.html
2...
Wakuu msaada naombeni ushauri lengo langu kusoma Mchepuo wa pcb kwa sasa nasubiria post nijiunge na kidato cha tano ila kuna feedback nimekuwa nikipewa ya kuwa haujasoma tuition hasa kwa shule za...
Kuna ndugu yangu anaulizia jinsi ya kuweza kuverify (kuthibitisha) vyeti vya NACTE.
Sasa sijui wanatumia procedures zipi nawasilisha swali kama nlivyoulizwa
Mwalimu mwenye shahada ya kwanza akiajiriwa shule ya sekondari huitwa AFISA ELIMU DARAJA LA PILI na huanzia na ngazi ya TGTSD sh. 532000= wakati kiwango hichohicho cha elimu akiajiriwa ktk chuo...
Wadau kuna ndugu yangu anataka kwenda kusoma chuo cha kodi cha tra cha mikocheni hivi ni kweli mtu akimaliza anapewa ajira moja kwa moja kama mtu amesoma pale basi au ana ndugu yake...
Naombeni msaada wana jamii jinsi ya kulipa kwa mpesa heslb kila nikifika stage ya kuandika reference number ambayo ni 1 inagoma inaniandikia hivi utility number is wrong
Kumekwepo taarifa na kauli mbalimbali kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yakishadadiwa na taasisi zinazojiita asasi za kiraia zikikashifu waalimu kuwa ndio wanaongoza kwa...
Heshima kwenu wanajamvi!
Samahani ndugu zangu, nipo kwenye mchakato wa kununua PC kwaajili ya matumizi yangu ya kimawasiliano na mengine yanayoweza kufanywa electronically lakini kabla sijaenda...
Heshima kwenu wadau makini!
Nilikitana na mtu mahali akanambia kulikua na utaratibu wa combination mpya CBM yaani Chemistry,Biology na Pure Mathematics!
Kama utaratibu huo upo nchini tayari...
Jamani wanajamvi wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu wataenda JKT?
Na pia je kuna athari yeyote ya kutokwenda JKT?
Msaada wa maoni tafadhali.
Mimi nilimaliza kidato cha sita mwaka jana, mchepuo ni CBG na nikapata merit ya 3.0. Nataka niombe mwaka huu st john's- Bsc in nursing na pharmacy. Je ninaweza kupata? Na je niweke vyuo gani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.