marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Habari wakuu,tupo miongoni mwetu wahasibu ambao wamekwishaajiliwa ama kujiajili,lakini tupo wale ambao tumehitimu mafunzo ya uhasibu na tunatafuta ajira,bila kusahau wale ambao bado tunasoma tukitazamiwa kuwa wahasibu.
Tukutane hapa tushirikishane mawazo kuhusu changamoto za ajira,na jinsi ya kufanikiwa zaidi katika fani hii tuipendayo,pia tujadiliane kuhusu fursa mbalimbali zitokana nazo na kuwa mhasibu,zaidi sana tuzungumze mambo yeyote yaliyo na faida kwa fani yetu.
Wale wenye maswali au jambo la kuhitaji msaada lolote lihusulo uhasibu,hapa ndio mahali pake,lets share the share.
Asanteni sana.