multitalented123
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 126
- 47
inaonekana mwaka huu kama vijana wamechelewa sana kuapply nafasi mbalimbali za masomo katika vyuo vya serikali, hii ni kulingana na kuwa miaka ya nyuma hasa mwaka jana hasa kwa wanfunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka huu na hawajafanikiwa kufaulu kujiunga na masomo ya secondary ya juu (Advance) ni lini wanaanza kutuma maombi?? nimejaribu kuingia kwenye tovuti ya necta sijaona....
lakini pia application za loan board zimefikia wapi help please
lakini pia application za loan board zimefikia wapi help please