Ni wapi nitapata mafunzo juu ya kilimo cha umwagiliaji?

Machi

Senior Member
Mar 28, 2016
120
33
Habari wanataka jamii
Naomba msaada wa kuhusu Umwagiliaji
Nitapima wapi maelekezo au mafunzo sahihi ya kilimo cha Umwagiliaji maji.
Kitu zaidi ninachotaka kujua ni water pump ya saizi gani ni mujarab kwa shamba la heka 50
Mimi nilikua na mawazo ya kutumia
Sprinklers gun ,lakini sina uzoefu naombeni uzoefu wenu.
 
Mkuu umekuja kwenye jukwaa la Elimu sisi tunajua unataka kusomea masuala ya umwagiliaji, sasa kaa tayari kuelekezwa vyuo, mitaala, ada, muda wa kuanza masomo, idadi ya vitini, madaftari au notebook, sare (kama zipo), na maduhuli mengine kibao kuhusu ELIMU YA UMWAGILIAJI.
Vinginevyo jisalimishe mapema jukwaa la kilimo utapata msaada kule kama unataka pump ya kumwagilia shambani kwako. Chukua hatua kabla hatujakuchukulia hatua za kimasomokimasomo.
 
Back
Top Bottom