Wakaazi wa sehemu tajwa hapo huu, nafuta shule nzuri ya Englsh Medium kuanzia maeneo ya Mwembe Mtengu mpaka Kibada au mbele yake kidogo.
Tafadhali mwenye kuifahamu anifahamishe.
Waungwana naomba kuelimishwa, kwa upeo wangu wa Historia,
Wakati wa biashara ya Utumwa, watumwa wengi walitoka Bara letu(Africa). Je Kuna Bara lingine lililotoa Watumwa kipindi kile???
Kama...
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha 6 (ECA) ,na nategemea kwenda chuo kusomea ualimu wa economics...kama Mungu atajalia matokeo yakatoka vizuri. pia chuo ninachopenda ni UDSM ....vp ni...
Ni project iliyoanzishwa na mwanafunzi wa UDOM
akishirikiana na mwanafunzi wa UDSM.
Saidia watanzania wenzako kung'ara Africa
Dear friends
My project "Software that people will pay online for...
Nimekuja kugundua kuwa wale wanafunzi ambao walikuwa na ufaulu mbovu au mdogo hasa kuanzia kidato cha nne ( 4 ), cha sita ( 6 ) na vyuo vikuu huku maishani ndiyo wamekuwa kimbilio ( waajiri )...
Nahitaji ile programme ya computer ya "Encarta,the free encyclopedia" yenye masomo kama vile Maths,science,geography na history.
Ni Jinsi gani naweza kuipata?
Naomba Masada wanajamvi, Kuna rafiki yangu anataka kusoma short course yoyote ile ambayo itamfanya ajiajiri mwenyewe, lakini isiwe udereva..,nawasilisha kwenu wadau.
Wadau naomba yeyote anayejua link itakayo niongoza kupata matokeo ya kidato cha nne mwaka 2003 anisaidie,nina shida nayo sana.
Nimejaribu kutafuta kupitia The National Examinations Council of...
Questionaire: Impacts of IT to Newspaper Leading to Transition from Printed To Online Newspaper
Waungwana nafanya research, please chukua mda kunijibia hayo maswali bonyeza iyo link maswali yapo...
Watt wetu si punde wanaenda kumaliza std 7,wengine hatujui kabisa schule nzuri za boarding hebu tunaomba kujuzwa kwa schule za hapa dar..lengo kuanza michakato mapema
Habari zenu wadau,
Nina mdogo wangu ambaye alihitimu kidato cha nne mwaka 2011 na hakupata matokeo mazuri,alishauriwa kurudia masomo yake lakini haikuwezekana kutokana na sababu...
Habari za muda huu mwana Jf.
Kwa muda mrufu imekuwepo lawama mbalimbali kuhusu huduma za kijamii hususani Elimu, imeonekana kuwa shule za mjini zinapewa kipaumbele kupata elimu bora zaidi ya zile...
Wakuu,
Kwa Hizi figisufigisu za Kuwa ajira za walimu ni kitendawili kwa mwaka huu,
Yaani TAMISEMI ikiwatema tu walimu kwa kutowaajiri,
MAAAAMAAAAA YANGUUUUUUU!!!!!!
Yani wamiliki wa shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.