Naomba kujuzwa shule nzuri ya private boarding DSM

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
Watt wetu si punde wanaenda kumaliza std 7,wengine hatujui kabisa schule nzuri za boarding hebu tunaomba kujuzwa kwa schule za hapa dar..lengo kuanza michakato mapema
 
Ambaye sio mkatoriki anaweza pia kupeleka mtt? Na hii ada ni kwa term 4 sio?
Nijuavyo shule za kikatoliki zina elimu nzuri world wide. Tofauti na Tanzania wako kibiashara mtoto akiwa na sifa mzazi unalipa ada anaingia. Ulaya ndiyo wanasisitiza mzazi mmoja lazima awe mkatoliki ili mtoto apate registration.
 
Lengo asome hapo Dsm Iwe lahisi kumtembelea weekend. ..
Na vipi Green Acres?
 
Ingawa sijawahi kupeleka mtoto lakini marafiki zangu wengi wamechagua shule za kikatoliki kwa option ya private school. Lakini wakiwa kule wiki 42 za mwaka kila siku lazima wasali Baba Yetu, Salamu Maria. Watoto wengine wakimaliza shule anakuambia nimeamua kuwa mkristu.
 
Kama ni wakike mpeleke canossa. Shule nzur sana na hakuna visiting day labda siku ya kikao cha wazazi. But in terms of academic and discipline,they are excellent, ni shule ya Catholic
 
Lengo asome hapo Dsm Iwe lahisi kumtembelea weekend. ..
Na vipi Green Acres?
Mpeleke Canosa na shule za kikatoliki ukishamfikisha sio kila weekend unajipeleka hata kama unampenda utamtembelea Mara moja tena tarehe utapangiwa lakini kwa elimu atafaidhi na pia shule zao awabaghui kasoro seminary tu wanazo andaa watoto kuwa mapadri ndio kazi kupata nafasi.Pia kuna feza n.k kazi kwako.
 
Back
Top Bottom