Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, udsm, mzumbe, TIA)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (UDSM, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (MUHAS)

8. Architecture (Ardhi)

9. Political science (UDSM, UD)

10. Electrical ( Must, DIT, Arusha Tech, CoET)

11. Agricuture( SUA)

12. Transport & Logistics (NIT)
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBA, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Archicture (Ardhi, arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
"SEHEMU NYINGINE" ndio vyuo/chuo gani?
 
Hapo namba 3 CBA ndiyo chuo gani na kipo wapi?
 
Chuo cha kutoa elimu ya kiwango gani? PhD au Masters? Hivyo vingine kama Arusha Tech kinazalisha ma archtect au wasaidizi. Hebu vipange kulingana na level zake kitaaluma. Kuiweka UDSM na CBE kundi moja ni kosa la jinai. Ni sawa na kuwalinganishwa messi na mfungaji bora wa ligi ya TZ hata kama huyu wa TZ kafunga magoli mengi katika msimu mmoja kuliko messi.
 
Labda kama si UD niliyosoma mimi nikitokea Usagara baada ya kupiga pute pale Mara Sec.
 
1. Civil engineering ( DIT, MUST, CoET, Arusha Tech)

2. Law (Udsm, Iringa University, ST John, St augustine)

3. Finace & Accouting ( IFM, CBE, udsm, mzumbe)

4. Computer & Telecom (CoET)

5. Computer Science (udsm, IFM)

6. Administration (Mzumbe)

7. Medicine (Muhimbili)

8. Archicture (Ardhi, arusha tech, DIT, Must)

9. Political science (Udsm)

10. Electrical ( Must, DIT, arusha tech, CoET)

...
sehemu nyingine unapoteza muda
Computer na Telcom St. Joseph University in Tz campus ya Dar wapo vizuri sana..
 
Tumezoea kuona standard ranks kwa dunia nzima (QS) Hivi kwa Tz hakuna chombo kinachojishughulisha na ranking hata kama ni kwa EA
 
Tumezoea kuona standard ranks kwa dunia nzima (QS) Hivi kwa Tz hakuna chombo kinachojishughulisha na ranking hata kama ni kwa EA
watu wapo na majukumu ya kusaka kuteuliwa na Rais, watapata wapi muda wa kufanya huo utafiti wa vyuo
 
Back
Top Bottom