PATIENCE PB
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 163
- 37
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha 6 (ECA) ,na nategemea kwenda chuo kusomea ualimu wa economics...kama Mungu atajalia matokeo yakatoka vizuri. pia chuo ninachopenda ni UDSM ....vp ni faculty gani nisome? na sio kwamba nataka kusoma education pure. Mungu akijalia nisome tena M.A. Economics.....je inawezekana??
msaada wenu kwa wanaofahamu haya mambo
msaada wenu kwa wanaofahamu haya mambo